Information about the word Mkenya (Swahili → Esperanto: kenjano)
Part of speech
common noun
Class
m/wa‐class
Plural
Wakenya
Usage samples
Kauli za waziri wa Kenya zilizua hisia kali kwenye mitandao ya kijamii, huku baadhi ya Wakenya wakiziita “mazungumzo ya baa” ambayo yanaweza kuzua mzozo wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili za Afrika Mashariki.